Kundi la vijana la Reggae Defender eneo la Luanda limetajwa kuwa haramu

  • | West TV
    143 views
    Kamishna wa kaunti ya vihiga felix watakila amepiga marufuku na kuharamisha kikundi cha reggae defenders kwa madai ya kuhusika katika visa vya uhalifu, biashara ya mihadarati na pombe haramu miongoni mwa visa vingine vya ukosefu wa usalama