Kundi la vijana lataka setka ya afya itengewe fedha zaidi

  • | Citizen TV
    160 views

    Muungano wa vijana kaunti ya Taita Taveta unataka serikali za kaunti kutenga fedha za kutosha kwa ajili ya kukabiliana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza kama saratani na kisukari