Kundi la vijana lazua rabsha dhidi ya Aisha Jumwa Mombasa

  • | NTV Video
    #NTVJioni #NTVNews #NTVKenya Kizaazaa kilizuka Mombasa baada ya kundi la vijana kuzua rabsha wakati mbunge wa Malindi Aisha Jumwa alipokuwa akihutubia wanahabari kuhusu masuala yatakayoangaziwa katika mkutano wa BBI. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya