Skip to main content
Skip to main content

Kundi la vijana lilizuia msafara wa rais na kulazimu polisi kutupa vitoa machozi

  • | Citizen TV
    1,920 views
    Polisi walilazimika kutumia vitoa machozi kutawanya kundi la vijana lililokuwa limezuia msafara wa rais William Ruto kwenye ziara yake maeneo bunge ya Dagoreti Kusini na Kazkazini, hapa Nairobi. Rais Ruto, akitumia ziara hiyo kupigia upatu ushirikiano wake na ODM huku akikosa upinzani kwa kile anasema ni kuendesha siasa za chuki na ukabila.