Kundi la wapiganaji wa TPLF latuhumiwa kuharibu vituo vya afya Tigray

  • | VOA Swahili
    259 views
    Serikali ya Ethiopia inalituhumu kundi la wapiganaji wa TPLF kuhusika na kuharibu vituo vya afya katika jimbo la Tigray, huku mkazi wa eneo hilo akieleza jinsi mwanawe alivyopoteza maisha kutokana na kukosekana vifaa vya tiba katika hospitali. - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.