Kundi moja hapa Kenya linapigania nchi isiwe tena na uchaguzi

  • | K24 Video
    92 views

    Kundi moja hapa Kenya linapigania nchi isiwe tena na uchaguzi na badala yake kuwe na uteuzi na usaili wa wale watakaohudumu katika afisi za umma. Kundi hilo linalojitambulisha kama kenya bila uchaguzi sasa linataka bunge lipitishe mswada wa kuondoa uchaguzi mkuu kenya kwani una gharama kubwa ya hali na mali mbali na ghasia