Kundi moja limetoa wito wa kuchukuliwa hatua dhabiti katika kukabiliana na maovu ya mtihani

  • | KBC Video
    Kundi moja limetoa wito wa kuchukuliwa kwa hatua dhabiti katika kukabiliana na maovu wa mtihani hapa nchini. Kundi hilo limesema serikali inapaswa kuonyesha kujitolea kwake katika kukabiliana na udanganyifu kwenye mtihani ili kukomesha mtu yeyote anayenuia kuhujumu uadilifu wa mitihani ya kitaifa. Kundi hilo limesifu hatua ya hivi punde ya serikali ya kuwapa matokeo ya mtihani wanafunzi waliodaiwa kujihusisha na udanganyifu kwenye mtihani. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive