Kuokoa sokwe wa milimani wa Uganda

  • | BBC Swahili
    287 views
    Daktari wa wanyamapori wa kwanza nchini Uganda Gladys Kalema-Zikusoka anafanya kazi ya kuokoa sokwe wa milimani walio hatarini kutoweka, ambao makazi yao yanaharibiwa na mabadiliko ya hali ya hewa. Yeye ni mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa Conservation Through Public Health, NGO ambayo inawezesha watu, sokwe na wanyamapori wengine kuishi pamoja, huku wakiboresha afya na makazi yao. Baada ya miongo mitatu, amesaidia kuongeza idadi ya sokwe wa milimani kutoka 300 hadi 500. #bbcswahili #BBC100Women #uganda Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw