Kupanda kwa gharama za maisha Camerooon

  • | BBC Swahili
    317 views
    Raia wa Cameroon wanapambana na ongezeko la pili la bei ya mafuta ndani ya mwaka mmoja, hali iliyochangia kuongeza kwa matatizo ya kifedha ambayo tayari watu wengi wanakabiliana nayo kuanzia watu wa kawaida wanaotatizika kumudu chakula hadi madereva wa teksi wanaotumia mapato yao kununua mafuta. #bbcswahili #cameroon #gharamazamaisha Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw