KUPPET yapinga vikali makadirio ya bajeti ya elimu ya mwaka wa kifedha wa 2025/2026

  • | NTV Video
    465 views

    Chama cha walimu wa shule za upili na vyuo anuwai (KUPPET) kimepinga vikali makadirio ya bajeti ya elimu ya mwaka wa kifedha wa 2025/2026 yanayowasilishwa bungeni. Kulingana na chama hiki kuna upungufu wa shilingi bilioni 62.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya