25 Feb 2026 1:25 pm | Citizen TV 200 views Duration: 2:16 Muungano wa walimu KUPPET tawi la Mombasa umedai walimu watatu wamefariki mwaka huu kutokana na kukosa matibabu ya magonjwa kama saratani, ugonjwa wa moyo na figo.