- 200 viewsDuration: 3:04Kupungua kwa idadi ya samaki katika Ziwa Victoria kumesababisha migogoro sio tu baina ya wavuvi bali pia kati ya asasi za usalama kutoka nchi jirani. Hali hii sasa ikisababisha kina mama pia kujitosa katika uvuvi, jambo ambalo linakisiwa kuwa kinyume na itikadi za jamii ya Dholuo.