Kura zaendelea kuhesabiwa Marekani wakati mshindi bado hajajulikana

  • | VOA Swahili
    2,385 views
    Kura zinaendelea kuhesabiwa katika kinyang'anyiro ambacho hakuna chama chenye uhakika ya ushindi katika uchaguzi wa katikati ya muhula nchini Marekani. - Kenya na Uingereza zimefikia makubaliano ya ujenzi wa bwawa kubwa sana la umeme nchini Kenya. - Kampuni ya Twitter inaendelea na zoezi la kupunguza wafanyakazi... - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.