Kusitishwa kwa msaada kutoka Marekani kunaathiri elimu Narok

  • | KBC Video
    6 views

    Wadau wa sekta ya elimu katika eneo la Kilgoris, kaunti ya Narok wanatoa wito wa ufadhili zaidi ili kuziba pengo lililoachwa na kusitishwa kwa msaada kutoka Marekani ambao ulikuwa ukigharamia masomo kwa wanafunzi kutoka familia maskini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive