KUSNEB yataka walimu wapewe marupurupu zaidi

  • | Citizen TV
    234 views

    Muungano wa walimu wa wanafunzi wenye mahitaji maalum unaitaka serikali kuwapa nyongeza ya marupurupu na kuboresha mazingira katika shule zinazotoa masomo kwa walemavu. katibu mkuu wa KUSNET James Torome ameitaka serikali kushinikiza bunge kutenga shilingi bilioni 5 ili kuwawezesha walimu kufanikisha masomo katika shule hizo. walimu hao kwa sasa wanapokea marupurupu ya shilingi elfu 10 kila mwezi.