Kutana na Juliet Onyango anayefanya kazi ya bodaboda jijini Nairobi

  • | Citizen TV
    1,729 views

    Mwanamke Ni Kujiamini Juliet Onyango Anafanya Shughuli Za Bodaboda Jijini Juliet Anadhihirisha Kuwa Mafanikio Hayajali Jinsia Juliet Amevunja Dhana Kuwa Kazi Hiyo Ni Ya Wanaume Mwanamke Huyo Anachangamsha Sekta Ya Bodaboda