Kuteleza kwenye barafu ya kioo huko Alaska

  • | BBC Swahili
    637 views
    Tazama namna mtaalamu wa theluji na mke wake wakiteleza juu ya barafu inayoangaza kama kioo katika Ziwa Rabbit huko Alaska Luc Mehl, nchini Marekani. Barafu hiyo imejitokeza baada ya ziwa hilo kuganda ambapo mtaalamu huyo anasema hali hiyo ni nadra sana kutokea. #bbcswahili #marekani #mazingira Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw