Kutoka Kisii Hadi Afrika Mashariki | Shule ya Kisii yafanya historia

  • | Citizen TV
    770 views

    SHULE YA KITAIFA YA WAVULANA YA KISII ILIANDAA SHEREHE MAALUM YA KUWAKARIBISHA VIJANA WAO BAADA YA KUIBUKA WASHINDI WA RAGA KATIKA MICHEZO YA SHULE ZA UPILI AFRIKA MASHARIKI.