Skip to main content
Skip to main content

Kutoka mitaani Lagos hadi jukwaa la chanel Paris

  • | BBC Swahili
    28,247 views
    Duration: 1:21
    Kutoka kwenye video za mitaani hadi kwenye moja ya majukwaa makubwa zaidi ya mitindo duniani, @giverachelashot anaonyesha jinsi kipaji na azma vinavyoweza kumfikisha mtu mbali. Rachel Ojuromi, mwanamitindo na mtengeneza maudhui wa Nigeria ambaye amejipatia umaarufu mtandaoni kwa kujirekodi akitembea kama mwanamitindo katika mitaa ya Lagos, hatimaye ameonekana na kupata nafasi ya kutembea kwenye jukwaa la maonyesho ya mavazi ya Chanel katika maonyesho ya Mitindo ya Paris. #bbcswahili #parisfashionweek #rachelojuromI Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw