Kutoka vurugu hadi amani: mlevi sugu wa Chonyi abadilika baada ya mafunzo ya ukatili wa kijinsia.

  • | NTV Video
    288 views

    Katika eneo la Chonyi, Kaunti ya Kilifi, kulikokuwa na vilio, vurugu na mapigano ya mara kwa mara baina ya wanandoa, ila sasa kunasikika sauti ya utulivu na maelewano. Hii ni baada ya mwanamume mmoja aliyekuwa mlevi sugu kuamua kubadilika kupitia mafunzo ya ukatili wa kijinsia kutoka kwa shirika.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya