Kutoweka kwa Frankline Ondwari

  • | Citizen TV
    1,345 views

    Familia moja kaunti ya Kisii inaendelea kumtafuta kijana wao aliyekamatwa na polisi wakati wa maandamano zaidi ya wiki moja sasa hapa Nairobi. Frankline Ondwari ambaye alikuwa mwanafunzi wa chuo kikuu cha Nairobi, alionekana mara ya mwisho jumatano iliyopita baada ya maandamano.