'Kutuma pesa Korea Kaskazini ni kama filamu ya ujasusi'

  • | BBC Swahili
    1,365 views
    Raia walioondoka Korea Kaskazini na kuhamia Kusini wamekuwa wakitegemea "mawakala" kutuma pesa nyumbani kwa familia zao. Lakini sasa kutokana na kuongezeka kwa ukandamizaji kutoka Kaskazini na Kusini, kutuma pesa kutoka kusini hadi kaskazini limekuwa ni jambo la hatari kubwa kwani hutumia njia isiyo halali kisheria ya kuhamisha fedha. #bbcswahili #koreakaskazini #koreakusini Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw