Baada ya Abigael Kendi kuelezea maisha yake ya kuishi na hali nadra ya mfumo wa uzazi ambapo alizaliwa akiwa na shingo mbili za kizazi, mifuko miwili ya uzazi, uke mara mbili na figo moja, tumezungumza na Dkt. Isaac Maro, daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake, ambaye anaeleza jinsi hali kama hizi hutokea, changamoto za kiafya zinazoweza kujitokeza, pamoja na matibabu na huduma zinazopatikana kwa wanawake wanaoishi na hali hiyo
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw