KUZOROTA KWA USALAMA SAMIA

  • | KNA Video
    14 views
    Kuzorota kwa usalama katika eneo bunge la Funyula kaunti ya Busia kukisalia kuwa changamoto,visa vya kihuni eneo hilo vikiandikishwa kila kuchao,oparesheni kali eneo hilo itaanzishwa na asasi za usalama katika juhudi za kuona kwamba visa hivyo vinaangamizwa kabisa. Haya ni kwa mjbu wa wadau wa usalama eneo bunge hilo.