Kwa mara ya kwanza katika historia ya Kenya, mkuu wa majeshi afariki akiwa mamlakani

  • | K24 Video
    151 views

    Kwa mara ya kwanza katika historia ya Kenya, mkuu wa majeshi amefariki akiwa mamlakani . Marehemu Jenerali Francis Ogolla, aliyesifiwa kama mtu mkarimu na mwanajeshi mwenye tajika alizikwa chini ya saa 72 baada ya kufariki katika ajali ya ndege. Mazishi ya mwendazake yalihudhuriwa na viongozi mbalimbali