Kwa nini Kenya, Uganda na Tanzania zilitupwa nje ya CHAN 2024?

  • | BBC Swahili
    146 views
    Kesho Jumanne, Sudan atateremka uwanjani kuonja makali ya Madagascar katika ngarambe ya nusu fainali ya kwanza itakayochezwa katika uga wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam Tanzania. Katika pambano la pili, bingwa mtetezi wa CHAN Senegal atapimana nguvu na mabingwa mara mbili Morocco katika nusu fainali itakayogaragazwa uga wa Mandela jijini Kampala Uganda. Wenyeji wote watatu wa michuano hiyo Kenya, Tanzania na Uganda walifurushwa katika hatua ya robo fainali. Kwa nini?