Kwa nini kesi ya Tundu Lissu Tanzania haitaonekana moja kwa moja?

  • | BBC Swahili
    918 views
    Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu imezuia matangazo ya moja kwa moja na uchapishaji wa taarifa za mashahidi katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu.