- 88,435 viewsDuration: 2:19Rais Trump anaangalia uwezekano wa kuchukua uranium ya Iran, Operesheni hii ya siri chini ya ardhi ni hatari kubwa na inaweza kuleta migogoro mikubwa kimkakati. Je, Marekani inaweza kufanikisha hili? @frankmavura anaelezea #bbcswahili #uranium #Iurani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw