Skip to main content
Skip to main content

Kwa nini magonjwa ya wanyama kama Ebola yanaambukiza binadamu kwa urahisi zaidi

  • | BBC Swahili
    1,010 views
    Duration: 7:03
    Kwa nini kuenea kwa magonjwa kutoka kwa wanyama kwenda kwa binadamu kunakuwa rahisi zaidi na hatari zaidi Katika miaka ya hivi karibuni Afrika imeshuhudia kuongezeka kwa kiasi kikubwa kwa milipuko ya magonjwa ya kuambukiza kutoka kwa wanyama hadi kwa binadamu. Wataalamu wa afya wanaonya kwamba ueneaji wa magonjwa hayo, mifumo dhaifu ya afya na changamoto za kiuchumi na kijamii vinafanya bara hilo kuwa hatarini sana kwa janga jingine la kiafya. Faidha Ngaga anaelezea kwa kina Chapters 00:00 - 00:10 Historia ya magonjwa yanayotoka kwa wanyama 00:11 - 00:29 Uhamaji wa ugonjwa ni nini? 00:30 - 00:40 Kuongezeka kwa Milipuko kama Ebola na hantavirus 00:41 - 01:02 Virusi vinavuka vipi kutoka kwa wanyama kwenda kwa binadamu? 01:03 - 01:25 irusi milipuko mikubwa ya magonjwa? 01:26 - 02:13 Jinsi virusi vya mnyama vinavyoingia kwenye seli ya binadamu 02:14 - 02:53 Binadamu huyapata wapi maambukizi haya 02:54 - 03:23 Ukaribu wa Binadamu na wanyama 03:24 - 03:46 Mabadiliko ya tabianchi na uharibifu wa mazingira 03:47 - 04:20 Uhaba wa chakula na ulaji wa nyama ya pori 04:21 - 04:50 Ufugaji wa mifugo umeongezeka sana tangu miaka ya 1960 04:51 - 05:19 Chanjo kwa vimelea vingi hatari zaidi 05:20 - 05:56 Mipango ya maandalizi ya magonjwa ya baadaye ya “Disease X” 05:57 - 06:30 Jinsi tunavyoweza kuzuia magonjwa haya mapema zaidi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw