Kwa nini majina ya watu wa jamii ya wasamburu huanza kwa kutumia herufi ya 'Le'

  • | Citizen TV
    229 views

    Je, una fahamu kuwa Majina ya watu wa Jamii ya Wasamburu huanza kwa kutumia herufi ya Le? Swali tunalojiuliza wengi ni je, ni kwa nini na ina maana Gani? Mwanahabari wetu Bonface Barasa amezamia swala hili kwenye mwenge wa kaunti kutoka Samburu