'Kwa nini ninapeleka majivu ya mwanangu mwezini'

  • | BBC Swahili
    807 views
    Huduma mpya ya kuzika angani itakayoanza Januari itaruhusu familia kupeleka sehemu ya majivu ya wapendwa wao kwenye Mwezi. Mama mmoja ambaye anatarajia kutumia huduma hiyo kupeleka majivu ya mtoto wake angani amezungumza na BBC. #bbcswahili #nasa #angani #mwezini #teknolojia #sayansi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw