Kwa nini waandishi wanalengwa Gaza?

  • | BBC Swahili
    615 views
    Waandishi wa habari 5 ni miongoni mwa watu zaidi ya 20 waliouawa kwenye shambulizi la angani lililolenga hospitali ya Gaza. Shirika la kimataifa la kutetea haki za wanahabari linasema kwamba tangu vita kuanza Gaza wanahabari zaidi ya 190 wameuawa. @RoncliffeOdit anachambua hili na mengine mengi leo saa tatu usiku katika Dira ya Dunia TV kupitia ukurasa wetu wa YouTube BBC Swahili. - - #bbcswahili #diratv #wanahabari Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw