- 36 views
Jaji wa mahakama ya upeo Njoki Ndung'u ameeleza kufadhaishwa na idadi kubwa ya ndoa ambazo hazijasajiliwa humu nchini. Kwenye hotuba katika chuo kikuu cha kilimo na teknolojia cha Jomo Kenyatta, jaji Ndung'u alisema wanandoa wengi hawana ufahamu wa hitaji la kisheria la kusajili ndoa zao katika kipindi cha miezi sita. Hali kadhalika alisisitiza haja ya dharura ya sajili ya kisasa ya ndoa ambayo imesalia kwenye madaftari, ikiliganishwa na mifumo ya dijitali ya usajili wa watoto na vifo.
Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Kwa nini wakenya wengi wanaishi kwenye ndoa zisizo halali?
- 21 Mar 2025 - A Chief has been shot dead in Chipilat, Tiaty Constituency, Baringo County, while on a mission to recover stolen livestock.
- 21 Mar 2025 - Meru Governor Isaac Mutuma M'Ethingia has nominated lawyer Linda Kiome to become the new Deputy Governor.
- 21 Mar 2025 - The Anti-Counterfeit Authority (ACA) has seized fake fertiliser worth Ksh.23 million in Molo, Nakuru County, as part of its efforts to eliminate counterfeit agricultural produce that threaten the nation's food security.
- 21 Mar 2025 - The World Health Organization (WHO) regional office in Africa found itself in an unprecedented situation when its Director Dr. Faustine Ndugulile succumbed while receiving medical treatment in India.
- 21 Mar 2025 - President William Ruto on Thursday met legislators from the Mt. Kenya counties at State House, Nairobi, ahead of his planned tour of the region.
- 21 Mar 2025 - Super Metro Ltd matatu sacco has filed an appeal with the Transport Licensing Appeals Board in Nairobi, challenging NTSA’s decision to suspend it, terming the move arbitrary and unjust.
- 21 Mar 2025 - Police found wire fixed onto a piece of wood, suspected to be used for strangling victims.
- 21 Mar 2025 - CS says it is illegal to withhold the documents.
- 21 Mar 2025 - Police found wire fixed onto a piece of wood, suspected to be used for strangling victims.
- 21 Mar 2025 - A chief from Wajir County and a Huduma Centre official have been charged at the Milimani Anti-Corruption Court for allegedly tampering with national identity details.