Kwa nini wavulana hawa wa Amerika wanaelekea Israeli

  • | BBC Swahili
    1,002 views
    Picha za kundi la wafanyakazi wa kujitolea wa Marekani wanaoenda kufanya kazi Israel zilisambaa mitandaoni wakiwa katika uwanja ndege tayari kuelekea Israel. Wanatoka katika shirika la Kikristo la Kizayuni la HaYovel na walisafiri kwa ndege kwenda kusaidia kazi kwenye mashamba kufuatia shambulio la Hamas mwezi Oktoba. #bbcswahili #gaza #israel #hamas #palestina Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw