'Kwa siku nilikuwa nachinja ng'ombe tatu, sasa hivi hata mmoja simalizi'

  • | BBC Swahili
    453 views
    Kwa takribani wiki mbili zilizopita serikali ya Congo iliamuru kufungwa kwa mpaka kati ya nchi hiyo na Rwanda kuanzia saa tisa alasiri. Hii imekuja baada ya Congo kuituhumu Rwanda kuwa inaunga mkoo kundi la waasi la M23,shutuma ambazo Rwanda imekuwa ikikanusha Mzozo huo baina ya nchi mbili umesababisha kukwama kwa shughuli za biashara ambazo zimeshamiri baina ya wakazi wa miji hiyo Mwandishi wa BBC Yves Bucyana amefika Katika mji wa Rubavu na kutuandalia taarifa hii. #bbcswahili65 #drc #rwanda