Kwa wakenya wanao fanya kazi Saudi, shida iko tu kwa utumishi wa nyumbani (House helps): Dr. Mutua

  • | TV 47
    24 views

    Kwa wakenya wanao fanya kazi Saudi shida iko tu kwa utumishi wa nyumbani (House helps): Dr. Alfred Mutua

    Katika hali ya kuangalia kazi, nimeenda nchi nyingi na ukweli ni kwamba kule Saudi ama Qatar, kuna wafanyikazi wengi wakenya. Utakuta kuwa, kwa sekta hizi zote hausikii mkenya ako na shida. Shida iko kwa sekta moja tu, ya utumishi wa nyumbani (House helps) - Dr. Alfred Mutua, CS Labour and Social Protection.

    #UpeoWaTV47 #UkumbiWaSiasa

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __