Kwaheri Charles Ong'ondo Were

  • | Citizen TV
    5,749 views

    Mwili wa mwendazake Mbunge wa kasipul Charles Ongondo were umefikishwa nyumbani kwake kaunti ya Homabay tayari kwa mazishi hapo kesho. Viongozi kadhaa wakiongozwa na gavana wa kaunti hiyo Gladys Wanga waliongoza msafara huo uliopitia mjini Homabay, Kendu Bay na Oyugis.