Kwale: Familia yapitia madhila ya maisha kutokana na ukosefu wa ajira

  • | NTV Video
    126 views

    Familia moja huko Kwale inapitia madhila ya maisha kutokana na ukosefu wa ajira. miaka mitano baada ya kufuzu chuo kikuu, Dennisn Otieno ambaye ana ulemavu wa kuona, na mkewe Cythia Otieno, wanasema juhudi zao za kusaka ajira ya ualimu zimeambulia patupu.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya