- 23,140 viewsDuration: 2:59Ni kwa vipi bendera ya nchi kama Tanzania, inaweza kutumika na meli kusafirisha tani ya mzigo wa biashara haramu? Hivi karibuni, meli iliyobeba shehena ya dawa za kulevya huku ikipeperusha bendera ya Tanzania ilikamatwa nchini El Salvador. Msemaji wa Serikali ya Tanzania, Gerson Msigwa, alieleza kuwa meli hiyo ilisajiliwa visiwani Zanzibar. Je ni kwanini meli hii ilisajiliwa Zanzibar? @sammyawami anaelezea kwa kina 🎥: @frankmavura #bbcswahili #tanzania #zanzibar Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw