Kwanini dola ya Marekani ni Sarafu Malkia DRC?

  • | BBC Swahili
    3,313 views
    Katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), dola ya Marekani inatumika sana katika miamala, kuliko sarafu rasmi ni faranga ya Congo (CDF). Dola inapendelewa katika manunuzi mkubwa, miamala ya kibiashara, na amana za benki. Hii inasababishwa na kuyumba kwa faranga ya Congo pamoja na mambo mengine. #bbcswahili #DRC #faranga Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw