kwanini Gaza ni kitovu cha mzozo wa Israeli na Palestina?

  • | BBC Swahili
    23,096 views
    Mzozo wa Mashariki ya Kati kwa mara nyingine umerejea katika Ukanda wa Gaza, baada ya waziri wa ulinzi wa Israel Yoav Gallant kuamuru "kuzingirwa kabisa" kwa eneo la Palestina, ambalo limetajwa kuwa "gereza kubwa zaidi la wazi duniani". Lakini ni kwa namna gani Gaza imekuwa moja ya maeneo yenye watu wengi zaidi duniani, Je maisha yapoje huko na kwa nini mara kwa mara imekuwa kitovu cha mzozo wa muda mrefu kati ya Waisraeli na Wapalestina? #bbcswahili #Israeli #Palestinians Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw