- 38,598 viewsDuration: 1:53Ghuba ya Uajemi ni eneo la bahari kati ya nchi kama Saudi Arabia, Iran, Iraq, Kuwait na Qatar ambalo lina utajiri kutokana na historia ya kipekee ya kijiolojia. Eneo hili pia lina miamba bora inayohifadhi mafuta pamoja na “mitego” ya kijiolojia inayoyakusanya kwa wingi. Ndiyo maana kuna zaidi ya maeneo 30 makubwa ya mafuta, baadhi yakiwa na zaidi ya mapipa bilioni 5. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw