Kwanini mahusiano baina ya wasanii 'mastaa' wengi hayadumu ?

  • | BBC Swahili
    Utafiti unaonyesha kuwa asilimia kubwa ya ndoa za waigizaji wa filamu maarufu kama Holywood huisha kwa talaka. Taswira hii pia imeshuhudiwa Afrika Mashariki hasa kati ya watu mashuhuri iwe katika uigizaji, wanamuziki na watu wengine maarufu. Lakini kwa nini mahusiano kati ya watu hawa huwa hayadumu? Jiunge na wanahabari wetu Roncliffe Odit na Hamida Abubakar pamoja na wageni wetu Nahreel Kenzo na mkewe Aika Kenzo na pia Christina Shusho wote kutoka Tanzania kulijadili swala hili. #ndoa #uhusiano #Christinashusho