- 12,653 viewsDuration: 56sMpira mpya wa Kombe la Dunia 2026 unaoitwa 'adidas Trionda' umetengenezwa kwa teknolojia ya juu ambapo utalazimu kuwekwa kwenye Chaji kabla ya kuanza kutumika. Teknolojia hii kwenye mpira ina maana gani? David Nkya anaelezea #bbcswahili #kombeladunia2026 #WC2026 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw