- 7,484 viewsDuration: 2:13Huenda bado hujaelewa sababu iliyomfanya Mbunge wa Ukonga, nchini Tanzania Bakari Shingo, kupita katika chujio la wagombea wa nafasi ya uwakilishi katika jukwaa la kimataifa, licha ya changamoto ya kutozungumza Kiingereza fasaha. Mwandishi wa BBC @frankmavura ameufuatilia mkasa mzima na kutuandalia video hii ya kile kilichotokea #bbcswahili #tanzania #Uongozi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw