Kwanini mtandao wa reli wa Afrika Kusini unaendelea kudorora?

  • | BBC Swahili
    Afrika Kusini inatekeleza mpango wa miundombinu wa dola bilioni sita katika miaka minne ijayo, lakini imeshindwa kulinda miundombinu iliyonayo tayari. Mtandao wa reli haswa katika mkoa wa Gauteng unaendelea kudorora. Wahalifu wamevamia stesheni nyingi za treni na kuiba, na serikali itahitaji takribani dola milioni mia tatu kurekebisha