Kwanini muziki wa Tacapella hauna umaarufu sana

  • | BBC Swahili
    245 views
    Acappella ni aina hii ya uimbaji ambayo hutegemea sauti za wanakundi pekee bila msaada wa vyombo. Kundi la the voice limeweza kudumu katika aina hii ya muziki kwa muda mrefu licha ya kuwa hauna umaarufu mkubwa. - Je unawalipa? wasikilize hapa #Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw