😂😂 Kwanini Polisi wamepiga marufuku sendo,ndala kutoka kumbi za kufanyia mtihani ?

  • | BBC Swahili
    Polisi nchini India wamegundua Champali /Sendo /Ndala/Slipaz zinazopendwa na wanafunzi hasusan wakati wa mtihani wa mwisho sio sendo za kawaida. . Afande mmoja aligundua mwanafunzi mmoja alikuwa anawasiliana na mtu nje ya ukumbi kupitia njia ya Bluetooth wakati akifanya mtihani. Mtihani huo ulikuwa muhimu kwani ulikuwa wa kufuzu kuwa waalimu katika jimbo hilo la India. Uchunguzi unaendelea.. . . . #bluetooth #india #wanafunzi