- 9,703 viewsDuration: 5:50Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya ziara ya siku tatu nchini Urusi kuanzia Juni 3 hadi 5, 2026, ambapo amefanya mazungumzo rasmi na Rais wa nchi hiyo, Vladimir Putin, pamoja na kushiriki katika Jukwaa la Kimataifa la Uchumi la St. Petersburg (SPIEF 2026). Hii ni ziara ya kwanza ya Rais Samia nje ya Bara la Afrika, tangu vurugu za uchaguzi wa Oktoba 29, 2025, lakini ni ziara ya pili kufanywa na Rais wa Tanzania nchini Urusi tangu 1969 alipozuru Baba wa Taifa, Julius Nyerere. Je ziara hii ina umuhimu gani? Sammy Swami anaelezea Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw