Kwanini siasa za Kenya zinakwepa maagizo ya kuongeza idadi ya wanawake katika nyafdha stahiki.

  • | BBC Swahili
    282 views
    Agizo hilo lililomo kwenye katiba ya Kenya ya 2010 limekumbwa na changamoto mbalimbali ya utekelezaji ya hivi majuzi inadhihirika kwenye orodha ya uteuzi wa urais William Ruto katika nyadhifa mbalimbali za juu serikalini ,ambapo idadi ya wanawake haijafikia hesabu iliyowekwa ya kutokuwa na zaidi ya 2/3 ya jinsia ya kike wala ya kiume katika nafasi kama hizo. #bbcswahili #sheria #wanawake